2.2.17

Fahamu programu bora za kuedit picha mwaka huu ukiacha Adobe Photoshop

BY net tamaduni

Kama wewe ni mpenzi wa picha, utakuwa umeshasikia au kutumia baadhi ya programu za kuedit picha au hata kuzibadili kabisa na kuleta maana nyingine. hebu tuangalia programu mbadala za kubadili picha ukiacha ile maaarufu iliyozoeleka miongoni mwetu ya Adobe Photoshop.

software_Bora_ya_Picha


Kwa muda mrefu uliopita kama ungemuuliza mtu ni ipi programu nzuri kwa kubadili picha sikuzote angesema Photoshop. Sawa nikweli Photoshop itaendelea kuwa programu kubwa na imara ila sisi kama wapiga picha tunacho hitaji ni program itakayo badiliha picha zetu na kuzifanya kuwa na muonekano bora zaidi.
Photoshop sio nzuri kama unataitaji tengeneza picha za kusifika katika kufikirika pamoja inauwezo wa kutengeneza ifect kama utakazo itaji, ila itaitaji ujue unacho itaji,kuna nyingine zilizo rahisi saidi kwa kuchagua chaguo la picha maratu baada ya kuweka picha yako.
Zifuatazo ni mfululizo wa program unazo weza tumia katika kubadili picha yako kwa njia rahisi zaidi na kupata picha zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu zaidi na kwa ujuzi kidogo na rahisi.

1. Adobe Photography plan

photoshop-boxout-16x10-650-80

2. Serif Affinity Photo

captureone_2-650-80

3. PhaseOne Capture One Pro 9

elements14-feature-650-80