27.3.18

Jifunze kushare Internet yako kutoka kwenye Laptop bila kifaa chochote

BY net tamaduni

Maranyingi watu wamezoea kushare Internet kutoka kwenye simu ya mkononi kuja kwenye Laptop na vifaa vingine, Leo tunakufundisha njia rahisi ya kushare internet jutoka kwenye Laptop yako na kwenda kwenye vifaa vingine ikiwa na nguvu kuliko njia ya kutumia simu.



  1. Hakikisha Laptop yako ina Internet Tayari, inawezekana ikawa ni internet ya cable au modem
  2. Washa wirless kwenye computer yako.
  3. Download program kutoka kwenye Link hii  https://160wifi.en.uptodown.com

4. unaweza kuunganisha sasa,na baada ya hapo waweza kuunganisha simu na vifaavingine kufurahia wireless yenye kasi zaidi. kumbuka Password utaiona hapo juu ( Maranyingi ni 1234567890)