13.2.17

Fahamu jinsi ya kurudisha kazi iliyopotea katika Ms Office kutokana na kukatika kwa umeme

BY net tamaduni

Kuna siku nilikuwa naandika makala moja nzuri na ndefu kwa ajili ya kuipublish kwenye Net TAMADUNI, nikiwa kama page ya tano ghafla umeme ukakatika na nisijue nini cha kufanya sababu kazi yenyewe nilikuwa sijaisave (hifadhi) bado.

Fahamu kuhusu Virus kwenye Kompyuta na Jinsi Programu za Antivirus zinavyofanya kazi

BY net tamaduni

Kila mmoja wetu hasa kama wewe ni mtumiaji wa kompyuta au simu za kisasa (smartphones) utakuwa sio mgeni wa software (zanatepe) za antivirus. Kama jina linavyojieleza software hizi ni maalumu kwa ajili ya kupambana na virusi vya kompyuta au simu.

Update simu yako ya Tecno C8 kwenda kwenye toleo jipya la Android MARSHMALLOW bila tabu hapa

BY net tamaduni

Tecno Camon C8, sasa rasmi imeboreshwa kwa Marshmallow ili kuweza ku-update simu yako ya Tecno Camon C8 kuna njia mbili kuu za kutumia, njia ya SD Card na njia ya flashtool. Njia inayoshauriwa na ya rahisi zaidi ni ya SD Card.
Tafadhali soma kwa makini hatua zote, kabla ya kuanza ku-update simu yako, kwani ukikosea unaweza ukaharibu simu yako (Usiwe na shaka ila kuwa makini na fuata hatua zote kama zilivyoelekezwa) . Kama itakushinda, unaweza wasiliana nasi katika sehemu ya maoni au kwa kututumia message katika ukurasa wetu wa Facebook.

12.2.17

Jifunze hapa jinsi ya kudownload na kuinstall Google Play Store kama uliifuta

BY net tamaduni

Google Play Store ndio sehemu pekee ambayo watumiaji wa simu za Android wanaweza kupakua na kuinstall applications tofauti tofauti. Kuna muda inatokea unaifuta play store kwa bahati mbaya au play store iliyokuwa kwenye simu yako inapata matatizo kama kuliwa na virusi na kulazimika kuiuninstall.

Samsung watengeneza Memory Card yenye uwezo mkubwa zaidi duniani 256GB

BY net tamaduni

Samsung kampuni inayofahamika kwa kutengeneza vifaa vya umeme vya aina tofauti yenye makao yake nchini Korea Kusini wameachia SDCard yenye nafasi kubwa zaidi duniani EVO Plus 256GB microSD card.


USB Debugging ni nini hasa? Fahamu moja ya settings muhimu zaidi katika mfumo endeshi wa Android

BY net tamaduni

USB Debugging kama inavyosomeka katika sehemu ya settings (mipangilio) ya mfumo endeshi wa android inaonekana kama kitu kigumu sana kwa baadhi ya watumiaji wa simu za mfumo endeshi huu. Hapana, USB Debugging ni rafiki yako wa karibu na unapaswa kumtumia pale unapolazimika.

Jinsi Ya Kurudisha Picha Zilizofutika Katika Smartphone Yako

BY net tamaduni


Kuna wakati inatokea unafuta picha zako kwenye simu yako kwa bahati
mbaya au hata kuna muda to unataka kurudisha picha zako ulizowahi
kuzifuta kutoka kwenye simu yako kama unataka kufanya hayo yote basi
usijali kwani leo tutaenda kujifunza namna rahisi ya kurudisha picha
zako hizo kwenye simu yako kwa namna rahisi kabisa.

Njia Rahisi (10) Za Kuongeza Followers Instagram

BY net tamaduni

Pale linapokuja swala zima la kutafuta masoko (social media marketing)
au follower kwenye mitandao ya kijamii ukweli ni kwamba ni lazima uwe
makini sana kwani usipo kuwa muangalifu utakuta unatumia hela nyingi iii
kuongeza kiwango cha mauzo kwenye biashara yako, hivyo ni vyema kuanza
na hatua fulani za kawaida au za bei nafuu (ninge pendekeza za bure) iii
kuongeza kiasi cha mauzo kwenye biashara yako hiyo mpya au hata ya
zamani baada ya hapo ndipo uwende kwenye hatua za kulipia (hapa ni baada
ya kuongeza msingi wa biashara yako hiyo).