12.2.17

jinsi ya ku-unlock Tecno Y3+ Itumie mitandao yote

BY net tamaduni

Tumekua tukipokea maombi mengi sana watu wakiniomba niwaelekeze jinsi
ya ku unlock simu ya TECNO Y3+.*
Zaidi ya watu 20 nilishawaelekeza na wamefanikiwa 100% , Hii haihitaji
Computer.

MAHITAJI

1, TECNO Y3+

2, KIFURUSHI CHA INTANETI (2mb)

*_FANYA YAFUATAYO_*:

1, Kwenye hiyo simu ingia PLAYSTORE,

2, Download MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT.

3, Ikishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering

4, Itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY, Shusha kuelekea
chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK alaf bofya hapo

5, Utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo alaf utaona
UNLOCK/NETWORK UNLOCK , Ukiselect network unlock simu itaomba unlock
codes , tumia 12345678,

Ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona PERMANENTLY
UNLOCK, chagua hiyo kisha restart simu yako na kila kitu kitakua poa.