Kama wewe ni mpenzi wa picha, utakuwa umeshasikia au kutumia baadhi ya programu za kuedit picha au hata kuzibadili kabisa na kuleta maana nyingine. hebu tuangalia programu mbadala za kubadili picha ukiacha ile maaarufu iliyozoeleka miongoni mwetu ya Adobe Photoshop.

Kwa muda mrefu uliopita kama ungemuuliza mtu ni ipi programu nzuri kwa kubadili picha sikuzote angesema Photoshop. Sawa nikweli Photoshop itaendelea kuwa programu kubwa na imara ila sisi kama wapiga picha tunacho hitaji ni program itakayo badiliha picha zetu na kuzifanya kuwa na muonekano bora zaidi.
Photoshop sio nzuri kama unataitaji
tengeneza picha za kusifika katika kufikirika pamoja inauwezo wa
kutengeneza ifect kama utakazo itaji, ila itaitaji ujue unacho
itaji,kuna nyingine zilizo rahisi saidi kwa kuchagua chaguo la picha
maratu baada ya kuweka picha yako.
Zifuatazo ni mfululizo wa program unazo weza tumia katika kubadili
picha yako kwa njia rahisi zaidi na kupata picha zenye ubora wa hali ya
juu kwa bei nafuu zaidi na kwa ujuzi kidogo na rahisi.