Nivizuri ukajua mchele tunaopika nyumbani ni suluisho kubwa sana kwenye simu yako ya Android na aina yeyote ile, mchele unaweza kuokoa garama kubwa ambayo ungeweza kupata kwa kuipeleka simu kwa fundi. Soma hatua hizi kujua mchele unavyo saidia kwenye simu.
Maranyingi watuwamekuwa wakipata bahatimbaya ya kunyeshewa na mvua au
kudumbukiza simu kwenye maji, si vyema wala haishauriwi kwatatizo la
aina hii kuweka simu juani fata hatua hizi rahisi kutatua tatizo lako.
- Fungua simu yako na tenganisha betri na simu maramoja
- Chukua bakuli lilo jaa mchele
- Tumbukiza simu na vifaavyake vyote kwenye bakuli la mchele ukiwa umevitenganisha tayari, acha humo kwa masaa kumi na mbili nakisha itoe simu yako na kuiweka kwa masaa 2 ipigwe na upepo wa kawaida na lisaa limoja upepo wa feni, Hakikisha huiweki juani.
- Rudishia kilakitu kwenye simu yako na washa simu yako tayari kwa matumizi.