Kutokana na ushindani wa kibiashara katika kutengeneza bidhaa hizi
makampuni yanayotengeneza flash yameamua kuja na maumbo tofauti ili
kumfurahisha mtumiaji wake. Leo Net TAMADUNI inakuletea picha za maumbo
10 ya USB Flash Drives ya kustaajabisha zaidi.
1. Flash yenye umbo la Opena na unaweza tumia kufungulia chupa muda wowote

2. Flash yenye umbo la kufuli.

3. Flash yenye umbo la duara.
4. Flash yenye umbo la bomba la shindano, Flash hii nadhani inawafaa watu kwenye kada ya Afya zaidi.

5. Flash yenye umbo la kizibo cha wine za chupa.

6. Flash yenye umbo la Jogoo aliyejifia na kukauka.
7. Flash yenye muonekano wa NINJA
8. Flash yenye muonekano wa Chocolate.

9. Falsh yenye muonekano wa funguo

10. Flash yenye muonekano kama mkanda wa kamera.
