17.9.15

CHEKI TEKNOLOJIA HII YA KUCHARGE SMARTPHONE KWA DAKIKA 30

BY net tamaduni


Huenda tukasaidiwa kwa upande mwingine mtu wangu, yani badala ya kusubiri simu yako kwenye chaji kwa saa mbili au zaidi ili ijae, tumetangaziwa kwamba mambo yatabadilika any time kuanzia sasahivi.